Hapa akiwa na Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, hii picha ilipigwa mwaka 1994 wakati Kamati ya Taifa Stars kufuzu Afcon ilipokutana na Rais Mwinyi.
Watambue wengine unaowajua
Vijana tunawajibu wa kupendana sana,kusaidiana,kuelekezana na kukosoana kwa akili na kwa wema .Picha hiyo wengi waliopigwa hapo sasa hivi wanashika majukumu nyeti ya Chama na Serikali wakati huo...