Muonekano mpya wa Reginald Mengi!

Muonekano mpya wa Reginald Mengi!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,674
Reaction score
31,060
20181128_074428.jpg

Kawa kijana, jamani mtupe siri, so that...
I can, I must, I will.
 
Naimagine namshika huyu mzee nazungusha mikono yangu nyuma yake thn french kissing him... Uwii
Pesa mwanaharam
Acha tu,ndo hapo huwa nawaona wanawake ni kiboko aisee..

Kweli pesa ndo kila kitu
 
nae siku hizi amekua mtu wa kuongea kuliko vitendo. Mara kiwanda cha dawa, Mara kiwanda cha simu, Mara kiwanda cha magari, Kama kachanganyikiwa hivi.


Haha, mzee mengi ana stress sana, hana uhuru, furaha wala amani ya kweli..hlf.kwa MTU mwenye pesa kama Mengi kuanzisha kiwanda ni simple process haitaji mabilioni mengi ya shilingi, anaweza aka-invest sh billion 1 ya kwake binafsi katika kila kiwanda kama investment ya kuanzia kinjumbi one
 
Back
Top Bottom