Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1087531
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] kipindi iko, noma sanaAlafu unaambiwa ukitoka hapa kajichafue tena. Msala ni pale utakaposema sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ukute nilikuwa nacheza nimeitwa nimeogeshwa nasubiri kuvalishwa nguo na natakiwa kulala(tena mchana![emoji17])
Utoto tabu sana,unalala muda anaotaka mama
[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1087531
Ukigoma kulala unachapwa unapanda kitandani huku unalia hadi kwikwi hadi usingizi unakupitia
Hahaaaaa duuuh"mama kaka hajalala macho yananiangalia"
Mama: we umemwonaje kumbe hata wewe hujalala, kula fimbo...kula fimbo... kula fimbo.
Mwanangu umfanyie hivyo?
Ukipiga uturn anajirudisha kwenye maji anazama kama samaki[emoji23][emoji23]
Siyo ya baridi..... weee
Nikulia na mbio