Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
Somo tajwa hapo juu linahusika
Awamu ya nne ndio ilikuwa ya uropokaji. Hii ya tano inadhibiti uropokaji. Wsropokaji wengi kwa sasa wamekuwa wajasiriamali. Kina lema, kina msigwa, kina mnyika, kina mdee. Wamebaki wachache mno kwakweli.Hiyo ndiyo awamu ya tano bhana
Shite na babakeAkili LOW, kuropoka HIGH...
'Kichwa kinaendeshwa na mdomo' kwa maana hiyo mdomo umechukua majukumu ya akili/kichwa.
HahaUna ugomvi na Msigwa?