Marehemu Dokta Mengi enzi za Uhai wake

Marehemu Dokta Mengi enzi za Uhai wake

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Hapa akiwa na Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, hii picha ilipigwa mwaka 1994 wakati Kamati ya Taifa Stars kufuzu Afcon ilipokutana na Rais Mwinyi.

Watambue wengine unaowajua
tapatalk_1557241407024.jpeg
 
Ha ha ha - Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde.
Mwenye Suti Nyekundu:Steven Kuwayawaya; kulia kwa Ndolanga ni Dingi yake Nape (Moses Nnauye.
 
Yan mzee Mengi anaonekana alikuwa ana kisu kabla mm sijaanza ht shule,, inabid nikaze sana kufika levo zake asee
 
Yan mzee Mengi anaonekana alikuwa ana kisu kabla mm sijaanza ht shule,, inabid nikaze sana kufika levo zake asee
Sasa mdogo wangu, hiyo 1994 ndio anafungua ITV na Radio One.

Sasa jifikirie, ilimchukua miaka mingapi kutafuta leseni, kuleta mitambo, kuajiri wafanyakazi etc.

Hapa Maji ya Kilimanjaro na Cocacola ya Moshi ilikuwa chini yake, Maji ya Kilimanjaro yalikuwa hayanywewi hovyo hovyo. Hadi nyumbani aje mgeni spesho kweli kweli.

Coca Cola Dar lile jengo ni mali yake, kawapangisha wale wa South.

Pia ana kiwanda cha Sabuni na Pads za kinamama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom