Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,561
Siku unayomtembelea rafiki yako ambaye bado anaishi na wazazi wake nyumbani kwao.Sasa aondoke halafu we ubaki na wazazi wake sebuleni hali huwa hivi.
Kumbe ndo yeye mchiziHuyu ndiye Nyani Ngabu?
Kivipi?Kumbe ndo yeye mchizi
Ki chupi mkuuKivipi?
Kwahiyo akilini hakuna hoja yoyote isipokuwa chupi?Ki chupi mkuu
Huyu ndiye Nyani Ngabu?
Kabisa mkubwa ila huko aliko bana...
Acha niishie hapo
Umejuaje mkuuKwahiyo akilini hakuna hoja yoyote isipokuwa chupi?
acheni mambo yaa jabu, nyani ngabu wa watu yupo kwa CAG anabeba maboks ya data
Mimi hoi
Hahaha ila wewe jamaa bhana.Huyu ndiye Nyani Ngabu?
Kwahiyo akilini hakuna hoja yoyote isipokuwa chupi?
Na kondomu