Amani iwe kwenu.
Lengo la uzi huu ni kwa ajili ya kupost picha mgando. katuni zisizokua na maandishi pamoja na video clip fupi zisizokua na sauti zitakazo hitaji msomaji apate wasaa au fursa ya...
Hili kapu limewekwa mikono ya ngozi ya mnyama na nakshi nakshi kidogo linauzwa £525.
Makampuni kama haya si yanatengenezwa kule Bamba Bay na yanakosa wateja.
Mtanzania, pg 11, 9/12/2019
Huu sasa tuite ni mfumo jike au nini.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro "anakagua" mafuriko mkoani kwake hana Safety Clothing hata moja.
Utafikiri bi harusi anaenda kitchen...
Yule msanii maarufu amekuja tena na picha yenye utatanishi kuelekea 2020.
Kwa wenye uelewa tunaomba atufumbulie hiyo habari picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim
Kutokana na mpiga picha kukosa timing ya picha au kukosea angle ya yeye...
Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni.
Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na...
PICHA hii inaonyesha nyumba ya sanaa ya zamani zaidi kujulikana duniani. Iko kwenye pango huko kisiwani Sulawesi, Indonesia. Iligunduliwa na timu iliyoongozwa na Adam Brumm wa Chuo Kikuu cha...