Huyu ticha atanifelisha mazee

Huyu ticha atanifelisha mazee

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,704
Shule hii naomba uhamisho
IMG-20191218-WA0019.jpeg
IMG-20191218-WA0020.jpeg
IMG-20191218-WA0017.jpeg
IMG-20191218-WA0018.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo ujue wanaume ni waongo, eti utamaliza bucha nyama ni ile ile weeehhh.... kishimo tuu ndo kinahitajika.... waapii... waongooo everything matters to a woman in general ukiondoa ile (eyes of the beholder).

Mi mwenyewe nimejikuta namtizama hapo kwenye maungio yake ya mapaja.

She has nice morphology utasema wale wanawake wa kuchora kwenye magazeti ya Sani...

Ila kama kweli ni mwalimu hakutakiwa kuvaa mavazi hayo hata kama anafundisha watoto wa chekechea au waschana watupu. Akili ya wanafunzi itakuwa imezama kwenye kumtizama mwalimu kuliko kusikiliza.... Na hata baada ya kipindi wanafunzi watajadili, wiki ijayo mwalimu atavaaje.

Huyo hata kufundisha Sunday School kwa mavazi hayo hafai, kama anapenda kufundisha avae sketi za vibwaya au mwamvuli zilizofika chini ya goti, blouse isiyomshika maungo au gauni mfanano huo na nywele asiweke mtindo wa kuhamisha hadhira kuzubaa hapo Vivyo hivyo kwenye make up na ornaments.

Halafu utakuta wanaume wanaogopa kumuota huyu kwa hofu watachapiwa au mkewe atatongozwa sana.....

Unyanyapaa tuu na uchoyo.
 
ha ha ha si ajabu na wewe mkuu,umetamani ungekuwa mwanaume.
 
Bora hata kumuoa ina afadhali,mwanaume wake ana nyumba ndogo mahali,
 
Yaanii..... hapo unakuta mume wake ndo amefumaniwa unajiuliza..... Sasa amekosa nini mwanaume huyu..... Unashangaa kabisaa. Mke mzurii labda tabia ndo iwe mbaya.... Ni binadamu wachache sana wameumbwa wazuri wa sura, muonekano, roho nzuri, moyo mwema, upendo wa kweli, waaminifu, watafutaji, wavumilivu, hawana hasira za haraka, muda wote wana furaha, sio wachoyo......et al.
 
Back
Top Bottom