Safi ,japo mwaka huu naona hadi tarehe hizi hatusikii jingle bells mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
kwako labda, huku mambo as usualSafi ,japo mwaka huu naona hadi tarehe hizi hatusikii jingle bells mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwaka kuu kutakuwa na xmass kwelii?? Huko makwenu vipi? Huku kwetu naona watu kama hawana habari hivii.
bila shaka tutakuwa tunakaa mtaa mmoja ...
Saiv kila mtu anajiongeza kivyake. Utasikiliza kwenu; nyumbani kwako[emoji23][emoji23]Safi ,japo mwaka huu naona hadi tarehe hizi hatusikii jingle bells mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapa watu hata hawana habariHivi mwaka kuu kutakuwa na xmass kwelii?? Huko makwenu vipi? Huku kwetu naona watu kama hawana habari hivii.
duuuh, hatariii!Hata hapa watu hata hawana habari