Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
Hali hii kwa viongozi wa Afrika inaonekana kushika kasi.
Samahani kwa kukuchochea,mkuu.Naona unawashwa washwa , tutafungia cartoon zako kwa uchochezi.
Huu ni upumbafu wa mwisho.HIVI VYEO VYA KIAFRIKA NI SHIDA NDIO MAANA MPAKA TUNAITWA WAPUMBAVU.HEBU ANGALIA MARAIS WETU WANAVYOSALIMIWA AU KUONGEA NA WANAWOWAONGOZA.SASA MTU UTAFANYA ZAIDI YA MIAKA MITANO HIVI.TUTAMUULIZA KAMA MURO ATAKUWA NA PENDEKEZO
View attachment 607263