Hapa ndio wanawake siwaelewagi:Mkuu wa Mkoa ana kagua mafuriko kavaa kama anaenda harusini

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,314
24,177
20191209_104053.jpg

Mtanzania, pg 11, 9/12/2019
Huu sasa tuite ni mfumo jike au nini.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro "anakagua" mafuriko mkoani kwake hana Safety Clothing hata moja.
Utafikiri bi harusi anaenda kitchen party.

Kuna tatizo gani wanawake wajameni, mbona siwaelewi?
 
Unamaanisha nini 'Kukagua mafuriko'? Kwamba kuna sehemu atayakuta na kuanza kuyakagua yalikua na kasi kiasi gani? Wingi wa tope? Mchanga?

Nchi zingine hua nasikia kua wana kitu kama kamati ya Maafa ya hapa kwetu ambayo hua inafanya tathmini ya hasara ya miundombinu na maafa yaliyoletwa na janga husika. Watasuggest ikiwa chakula cha dharura kinahitajika kwa kiasi gani, makazi ya dharura n.k. if she were to work smart ni angeletewa hiyo ripoti na yeye kuiwakilisha kwa Rais na ingekua na tija kuliko 'kukagua mafuriko'
 
Mbona nikisoma caption ya hiyo picha na habari uliyoleta mkuu vinakinzana sana.

Maelezo picha yanasema mkuu alikuwa na ziara katika kijiji icho, lakini ww unatuambia alikwenda mahususi kukagua mafuriko?
 
Mbona nikisoma caption ya hiyo picha na habari uliyoleta mkuu vinakinzana sana.

Maelezo picha yanasema mkuu alikuwa na ziara katika kijiji icho, lakini ww unatuambia alikwenda mahususi kukagua mafuriko?
Endelea kusoma na uielewe caption.
 
We mtoa post unadharau sana. Yaani mimi sijui kusoma kweli? Ungefuta hayo maandishi ya chini hapo ili ubaki uongo wako.
 
Endelea kusoma na uielewe caption.
Mkuu nimeisoma zaidi ya mara tatu, nilichokiona labda tu makosa ya kiuandishi hapo anapomalizia maelezo ''Mkuu huyo wa mkoa alikuwa na ziara kwenye hicho''

Nilichoelewa ni kwamba mama alikuwa na ziara kwenye kijiji tajwa na ndio akakutana na hiyo changamoto na si kwamba alienda kwa lengo la kukagua mafuriko. Nina uhakika ingekuwa lengo la ziara n kukagua mafuriko hasingevaa hivyo.
 
We mtoa post unadharau sana. Yaani mimi sijui kusoma kweli? Ungefuta hayo maandishi ya chini hapo ili ubaki uongo wako.
Naona baadhi yetu tuna mapungufu makubwa sana katika kusoma habari na kuielewa. Au pengine tumezoea kuona picha na kutunga habari zetu. Asante mkuu kama nawe umeielewa habari iliyopo kwenye picha dhidi ya uongo wa mleta uzi.
 
Kijiji cha Mshiri na ndipo lango kuu la kuingia mlango wa kuukwea Mlima, kipo juu kabisa Mlimani katika Kata ya Marangu, huko huwa hakuna mafuriko na ni kawaida watu kupita juu ya mawe kwenda upande wa pili. km maji ya mfereji au mto yamevunja kingo ndipo huingia barabarani,
CHANGAMOTO maeneo haya hayana barabara za uhakika hata Mbunge wa Jimbo Mh Mbatia alipochangisha kwa ajili ya matengenezo Mkuu wa Mkoa alikwamisha
 
Back
Top Bottom