Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Dec 20, 2019 #1 Hili kapu limewekwa mikono ya ngozi ya mnyama na nakshi nakshi kidogo linauzwa £525. Makampuni kama haya si yanatengenezwa kule Bamba Bay na yanakosa wateja.
Hili kapu limewekwa mikono ya ngozi ya mnyama na nakshi nakshi kidogo linauzwa £525. Makampuni kama haya si yanatengenezwa kule Bamba Bay na yanakosa wateja.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Dec 20, 2019 #2 Kizuri kwa muonekano na kama kitakuwa kimefumwa kwa uimara basi kitakuwa kizuri zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
Kizuri kwa muonekano na kama kitakuwa kimefumwa kwa uimara basi kitakuwa kizuri zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Dec 20, 2019 #3 Huku kwetu vipo halafu wateja hakuna Sent using Jamii Forums mobile app