Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 511
- 574
Amani iwe kwenu.
Lengo la uzi huu ni kwa ajili ya kupost picha mgando. katuni zisizokua na maandishi pamoja na video clip fupi zisizokua na sauti zitakazo hitaji msomaji apate wasaa au fursa ya kutafakari maana au ujumbe uliobebwa na picha au katuni husika
Sent using Jamii Forums mobile app