Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Kwani ninyi mmekatazwa kuandika za kwenu Naivasha, au Eldoret?...Hawa jamaa sijui Kwanini wanajifanya wajuaji sanaView attachment 1296145
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakwama wapi Mzee baba?Acha ubaguzi kipi hapo kilichoharibika acha watangaze siko la utalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi tu hawajui...Ujinga unawasumbua kuna mtu hajui Ngorongoro iko wapi kama sio Pombe
Ndiyo. arsenal wako london na wanavaa shati zina jina la Uganda
SAWA TENA SANA TU. Mbona kuna Barabara zina majina ya Wakenya. Inamaana Watanzania wenye heshima ya kipewa barabara majina yao wamaisha?