Leo katika pitapita yangu nikakutana na sofa jekunde sehemu mahususi ya kumuapisha Raisi wetu Dr. wa ukweli ambaye alitakiwa kushinda kihalali katika jukwaa hili pale Kawe roundabout kwa Mh.Halima...
Mara nyingi watumiaji wa kilevi huenda baa wakiwa safi kabisa ila muda kadri unavyokwenda ndio na tabia zinabadilika na usipoangalia unawezakuta umeondoka na kikongwe.
Ukisikia elimu ya chuo kikuu ni ngumu, fahamu kwamba siyo katika vitabu tu, ni pamoja na mambo na mitego ya kiuchozkozi kama hiiiiii! Based on true story!
Mvua zilizonyesha kwa muda wa siku 4 mfululizo zimesababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa eneo la Kedah nchuni Malaysia kama inavyoenekana ktk kielelezo nichoambatanisha.
Chanzo ni mimi mwenyewe...