Picha ya kihindi niliyoipenda mwaka 1987 ( daku hasina) jambazi hasina

Kaka Mzizi tatizo ulikuwa unazielewa? Au ni zile zilizochakachukuliwa Mbagala
 
Nilikuwa nazielewa kwa sababu kaka yangu mwaka huo 1987 alikuwa na mke wa kihindi hapo hapo Dares-Salaam alaikuwa huyo shemji yetu anatufundisha lugha ya kihindi kihindi. neno hili Daku kwa kihindi ni jambazi mtu mkatili
 
1987 mke wa kihindi? huyo lazima alikuwa muhindi kokooo as hizo ndo walikuwa serious zaidi ya sasa kuhusu kuchakachua culture yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom