St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Hata hawana aibu kutujia na mahelikopta yao wakati sisi hata maji safi ya kunywa tu shida.
Mambo magumu sana haya Mkuu,
Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho.
![]()
hii nayo ni ile ya Barrick?
Singida mkoa masikini kuliko yote tz halafu mbunge wao anawakejeli kwa helicopter! What a shame!