Nimeipata hii kwa mmoja wa watani zangu wangoni anauliza hapa ni kanyigo(bukoba)au mbinga(songea)
mmiy Member Oct 2, 2010 27 0 Nov 9, 2010 #1 Nimeipata hii kwa mmoja wa watani zangu wangoni anauliza hapa ni kanyigo(bukoba)au mbinga(songea)
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,501 4,164 Nov 9, 2010 #2 Hapo lazima patakuwa Mbinga tu maana watani zangu wale hawaachi mtoto wa kike awapite .
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,150 9,097 Nov 9, 2010 #3 kwa kweli hii mbona iko kwenye sehemu nyingi tu vijijini... P.S .:doh: