jamani kina dada bonge la tabasamu sijui mnaonaje. Si handsome huyo. Anafanana na mmiliki mmoja wa kampuni ya kufua umeme, kama ni hela anzo za kutosha. Ni pm nikupe namba zake.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa tano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uzinduaji (EITI) mjini Paris, Ufaransa, uliozungumzia matarajio ya baadaye ya tasnia hiyo na uwazi...
Jamani nimekutana na picha hii, nikawa nimefurahishwa na huo mtindo wa hilo vazi la bluu. Msaada: Nani mbunifu wa hilo sulupwete? Mama katoka as black beauty, Afro....no vipodozi etc. Wewe...
Waungwana nimeona niitoe picha kutokana na ukweli kuwa wengi hawakufurahishwa nayo..
Naomba samahani kwa yeyote niliyemsababishia usumbufu kwa namna moja ama nyingine..
TANMO.
Kutokana na hali halisi ya usafi wa glasi kuwa kizungumkuti katika sehemu nyingi za vinywaji yaani hazioshwi,au hazioshwi vema au zinalowekwa tu kumekuwa na wimbi kubwa la watu kupiga...