Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,133 16,197 Mar 7, 2011 #6 huyo kaambiwa na jamaa yake aweke picha kwa "fb" ndio anaweka mapozi
M maselef JF-Expert Member Oct 31, 2010 254 46 Mar 7, 2011 #15 Wamesau kuweka radio ya mkulima mbele na kuweka alama ya dole
Seto JF-Expert Member Jan 15, 2011 953 53 Mar 8, 2011 #16 mbona kama vinyago na hiyo mikao ya ngono ngono?