Nani mbunifu wa hii.....?

Nani mbunifu wa hii.....?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Jamani nimekutana na picha hii, nikawa nimefurahishwa na huo mtindo wa hilo vazi la bluu. Msaada: Nani mbunifu wa hilo sulupwete? Mama katoka as black beauty, Afro....no vipodozi etc. Wewe unaonaje hapo?

wauj%2Bmtwara%2B130.JPG
 
umeshaliita SULUPWETE ina maana umeliona ni kichekesho
 
Mie nimeona huyo dume mwenye suti ya mistari mistari lol:spider:
 
masasi mtwara hapo hao ni wanafunzi wa hospital ya mkomaindo na huyo ni teacher wao akiwaambia unesi ni wito mumekimbilia huko kuweni wapole
Conquest- vazi ni vazi angekuwa mzungu just yess wabongo ni pamaba nyepezi:A S 13:
 
Back
Top Bottom