Usafi, Kujipenda, kwenda na wakati. Ma sister duu wa Uganda kwanza, Kenya mwisho Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafi, Kujipenda, kwenda na wakati. Ma sister duu wa Uganda kwanza, Kenya mwisho Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by kwamtoro, Mar 5, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Angalia watotoziiii wa Kigandaaaaazzzziiiiiiiii

  desLONDON.jpg jsilk.jpg sexsheebah.jpg zarisa1125.jpg shb602.jpg blak1158.jpg
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umetumia vigezo gani?Usafi na kujipenda sio kujipulizia perfum tu na kuvaa!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  eti usafi kuvaa kimini!
   
 4. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwenda na wakati
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  1 Ngozi
  2 Usafi wa akili kichwani
  3 Kuchukia Uchafu
  NK
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ulichambua wangapi wangapi kutoka kila nchi?Ulitumia njia gani?
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Utafiti wako una walakini mkubwa sana......embu tueleze sampling technique ipi ulitumia?
   
 8. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  1.5 Million Kenya
  2.7 Million Tanzania
  1.8 Million Uganda
  From Jan 2003-June 2010
   
 9. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Age 18-27
  Secondary & College
  As well Super Star
   
 10. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  cc wengine hukutuchukua wkt wa sample yako , zo mapungufu kibao, wee umechukua sample chafu za tz afu unasema uganda wanaongoza
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ningeendelea kukwesheni hako kakijirisachi kako ila hizo namba nikikuuliza wangapi kati yao unawajua in person..umefika makwao ukaona kweli ni wasafi na wanaanza kujali sehemu wanazolala kabla ya wanachovaa sidhani kama jibu litakua zaidi ya asilimia moja!Na hapo na ongelea jibu ambalo ni la kweli bila hata kujidanganya mwenyewe...so i'm out!
   
 12. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Pole Lizzy
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  i doubt km wewe ni mtanzania...:A S 13:
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwamtoro unapima USAFI kwa kuangalia picha ?
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa!!!!:A S 13:
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Usafi kwako ni nini?
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mwanamke kifaaa cha ndani screenserver mapambo tu
   
 18. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! bahati mbaya sana mie naishi hapa Chuoni kwangu na Waganda wengi sana. Tuko mataifa mengi sana ila kwa mchanganuo rahisi ni kuwa watanzania tuko 10, waganda 30, wakenya 4, warundi 10, wanyarwanda 20, na mataifa mengine ya Afrika, Ulaya, Marekani ya kusini na visiwa ya pacific lakini WATANZANIA wanaongoza kwa kupendeza, usafi n.k ... Wanganda wengi wanataka tuwaunganishe kwa dada zetu. Ni aibu kwa post hii isiyo na utafiti wa kina.
   
 19. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mbona hao wadada wa kawaida tuu tena wamenenepeana bila mpangilio :mullet:
   
 20. c

  chetuntu R I P

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashanga!
   
Loading...