Kaumbika kweli huyu.

Kaumbika kweli huyu.

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,098
Reaction score
12,728
Waungwana nimeona niitoe picha kutokana na ukweli kuwa wengi hawakufurahishwa nayo..

Naomba samahani kwa yeyote niliyemsababishia usumbufu kwa namna moja ama nyingine..


TANMO.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwana ukikamatwa!!!! utakomaaaaaaaa, uwiiiiiiiiiiiiiii
 
Wapi link sasa?

Wape watu LINK ili usionekane umeiba.....
 
Mods embu changamkeni muiondoe hii picha.
 
Hata kama ukubaliani na JK si vizuri kutengeneza picha kama hii
 
mkuu toa haraka isije ukatunyima ladha ya jf ka ilivokuwa the utamu
Hate inside ur heart not your eyes
Conquest-I DONT CARE WHAT THEY TAKE US BUT ALL IN ALL IN JUDGEMENT DAY.:blah:
 
Ingawa sijaiona, nina uhakika mods waliitoa haraka na hii inamaanisha wapo makini na kazi yao.....ila binafsi hiyo picha nilishaiona na sio picha nzuri kwa kiongozi au mtu yoyote ambaye ni jinsia flan then watu wakakubadilisha kwa kutumia photoshop sio kitu kizuri kabisa....i dont like the guy but i did not like the picture either...
 
Waungwana nimeona niitoe picha kutokana na ukweli kuwa wengi hawakufurahishwa nayo..

Naomba samahani kwa yeyote niliyemsababishia usumbufu kwa namna moja ama nyingine..


TANMO.
Mkuu toa kabisa na hii posti,hili ni forum ya picha,hivyo posti yako bila picha haina maana kabisa!!
 
Back
Top Bottom