Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Mh! Makubwa...........................
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Wakongwe kidogo kama mimi mnavikumbuka vitanda vya namna hii? Mi nakumbuka tumevitumia sana enzi hizo, hata wazee wetu tulikuta wanavitumia! Ninachojiuliza ni kuwa wazungu walikuwa na...
1 Reactions
24 Replies
18K Views
Hawa jamaa wanajitakia balaa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
What else did they expect! Revellers pass out in the gutter and stagger around without trousers, after nightclub's 10p-a-drink offer After paying £5 entrance fee, drinkers could buy a pint of...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
huyu aliyekabidhiwa funguo za hili gari, hakuona hiyo alama au kiburi tu?!
2 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Rais Kikwete katika soko la Hisa la NASDAQ, New York - YouTube
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana usiku star tv walifanya mahojiano na msanii wa filamu za kibongo jaqline pentel. Angalia kivazi kinakera na wahusika hawakustahili kumhurusu kuja studio na aina hii ya kivazi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baba Ridh akirudu nyumbani baada ya kutoka safari ya kuwatafutia riziki wabongo.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo. Nimeshindwa kuelewa mbona huyo dada kamtazama membe kama ana ugomvi naye? au wewe unaonaje? dah! hata hivyo Rais wetu anafaidi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Siyo kwa ajili ya mieleka
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Duhu, huyu jamaa bongo fleva hazimpiti!
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Hawa jamaa bwana eti wanaulizana nai atafuata baada ya mwenzao kuvuliwa gamba
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesoma thread humu ndani kuhusu mgombea ubunge wa UPDP, kwa bahati nzuri nilifanikiwa kupata picha zake baada ya kufukuzia msafara wake kwa baiskeli, ulinipita nikiwa katika baa ya Kibo nikipata...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…