Sijui kama hii post ilishapita huku JF ila nimeiona leo nimecheka na kusikitika sana.... Kweli maisha yamekuwa magumu bongo. Watu wanavumbua mbinu bana... See this thread...
Mwizi ajifanya mzigo...
Ilikuwa shange na vifijio huku fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambako Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na...
Rais Jakaya Kikwete , akijumuika na baadhi ya waombolezaji kuuombea mwili wa marehemu Halima Mchuka katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa...
Paroko wa kanisa la Roman Katoriki (RC) parokia ya Lupingu Ludewa Thobias Mgani akionyesha fedha kiasi cha shilingi milioni 1.8 kilichotolewa na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kwa...