Gari la kubeba takataka jijini dar es salaam

Gari la kubeba takataka jijini dar es salaam

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,098
Reaction score
34,914
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #FFFFFF"] GARI LA KUBEBA TAKATAKA JIJINI DAR ES SALAAM


IMG_3468.JPG


IMG_3466.JPG


[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Hivyo magari kama haya bado yapo Jijini Dares-salaam? Nawauliza Wakuu wenzangu?
 
Duh!scrapper kabisa!still we have a long way to go!
 
Kwa hiyo wewe gari la kubebea taka ulitaka liwe na sifa hizi:
AC, power window, power mirror, alloy wheels, ABS, spoiler, sport rims, rear camera, CD changer hadi kwenye bodi, DVD na mazagazaga yafananayo na hayo siyo...!?
 
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<TBODY>[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #ffffff"]GARI LA KUBEBA TAKATAKA JIJINI DAR ES SALAAM



IMG_3468.JPG


IMG_3466.JPG

[/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]
Hivyo magari kama haya bado yapo Jijini Dares-salaam? Nawauliza Wakuu wenzangu?


kWANI WEWE UMELIONA WAPI?
 
Inabidi tujikune tunapofikia jamani. Kama uwezo wetu ni kuwa na gari la aina hiyo, tukubali tu as long as lina serve the
purpose!
 
Yaani Dar es salaam jiji linaoongoza gari lake la kubebea taka limechoka hivi, mnashindwa hata na manispaa ya jiji la Arusha. huku gari la kubebe taka ni zuri na la kisasa
 
Duuh! ama kweli takataka la kuzolea taka
 
kabla hatujapata uhuru, watu walikuwa wakisomba taka kwa ndoo kichwani lakini sasa hivi matunda ya uhuru tunayaona magari yanabeba taka tena kwa kuzifuata majumbani. Hongera tanzania hakika tunasonga
 
Chakushangaza ni kipi?
Mbona haya magari ya taka yote yako hivu tu na yamezoeleka!
Hii ndio TZ bana kila kitu simple.
Kwani likizoa taka zako pia huondoka na taka zake!!
 
Back
Top Bottom