Hapa ndipo aliposulubiwa Hamad Rashid Mohd mbunge wa Wawi

Kobaba

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
492
341
Akiwa ktk picha pamoja na wajumbe wenzake wa CUF ktk mkutano uliofanyka jana ktk ukumbi wa Mazsons Hotel Shangani mjini Zbar muda mfupi kabla kuanza kikao kilichomvua uanachama wa cuf yeye na wenzake wa3. HR yupo ktkati alievaa suti na miwani. Ni imani za wengi kuwa mwelekeo na umaarufu wa kisiasa kwa HR umekwisha.Tayar mwenzake aliewahi kuwa kiongozi wa upinzan bungeni Fatma Magimb hasikiki tena ktk medan ya siasa.HR ni ndugu wa karibu na marehemu Dokta Omar Ali Juma aliewahi kuwa makamo wa rais wa URT.
 
attachment.php


Siasa bila ile hewala bwana mchezo mchafu utakaokupata ni majuto ya mjukuu
 
Mbona mnanichanganya kwani Hamad Rashid alihudhuria kikao hicho? si alikuwa ameweka pingamizi la kufukuzwa mahakamani kabla hata hajafukuzwa? duuuh hii ni balaa sana!
 
HR wewe ni mtu makini wasikutushe nenda popote tutakufwata tu ila usiende jembe na nyundo.
 
Back
Top Bottom