Ipe maneno hii picha (JK na familia ya jaji Lubuva)

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Ipe maneno hii picha (JK na familia ya jaji Lubuva)
k5.jpg
 
Mtakatifu naona picha ya mzee hapo anayestahili astaafu ila bado anapewa majukumu mazito kama ya Tume ya Uchaguzi
 
mkwerre acha kuangalia mke wa mzee wa watu.....unatamani vitoto vya 9yrs mpaka mama mtu mzima kama huyo?
 
Mtakatifu naona picha ya mzee hapo anayestahili astaafu ila bado anapewa majukumu mazito kama ya Tume ya Uchaguzi
kweli kijana..hata mimi nilishtuka baada ya kuona picha ya huyu mzee..sijui umri wa kustaafu ni miaka mingapi
 
Hivi kweli hakuna vijana wanoweza hiyo kazi? Hako kazee katweza mikiki mikiki ya uchaguzi wa vyama vingi? Kweli kama kubebana sasa too much
 
kweli kijana..hata mimi nilishtuka baada ya kuona picha ya huyu mzee..sijui umri wa kustaafu ni miaka mingapi

Alishastaafu akiwa jaji wa Mahakama
bado atakaa hapo miaka miwili mitatu astaafu kama mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Kote huko anapata mafao tuu
Kwa nini asingemuacha mzee kama huyo akae nyumbani alee wajukuu zake na kuwapa wenye nguvu na wanaoweza kuhimili mikiki mikiki ya uchaguzi
 
Mwenyekiti Mpya wa Tume ya Uchaguzi na JK na Familia ya huyo mwenyekiti ina maana hapo ni mke na mtoto wa mwenyekiti

Asante sana mkuu, ukiweza tupe na majina ya mke na mtoto ili habari picha ikamilike :A S 465:
 
Ndio namna ya ufanyaji kazi wa CCM. Sasa huyu babu anapewa majukumu ya kula mpk kifo kitakampomtenganisha na dunia
 
ya nini wewe?

Mkuu hata mimi nimeshangaa
majina ya mke na mtot wake hayana faida kwetu sisi tunamuangalia huyo babu aliyeteuliwa
Mtu kashakuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa kastaafu then kapelekwa tume ya maadili kaacha huko na sasa Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya Uchaguzi
Kichekesho kitupu hapo
 
Nimekupa nafasi ya kujiweka sawa kwa sababu nyumba ya serikali uliyonunua oystabey chadema wakiingia madarakani lazima watakunyanganya,
jenga yako.
 
Kikwete kweli hii dhambi hutaikwepa! Yaani unampunguzia umri wakuishi huyu mzee katika mikikimikiki hii ya siasa za maji taka? Nakaombea kwa God hiki kizee ili akutane na uchaguzi wa mwaka 2015.
 
Sasa jamani huyu mzee mbona hivi? yaani ukimuangalia hapo alipo anaonyesha wazi kuwa kazi aliyopewa anaiyogopa, si ndio wanaondoka na presha hawa, jamani babu wa LOLIONDO angerudi tena.:eyebrows:
 
JK Ana tege la soka akipiga wingi atakuwa anaingiza cross za ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom