NMC hospital - Kamanda Lema anaendelea vizuri

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
lema.jpg


Jana baada ya mkutano wa kumbukumbu ya mashujaa pale NMC alilazwa hospitali,Taarifa kutoka kwa mtu aliyekaribu naye zinasema aliruhusiwakutoka hospitali jana hiyohiyo usiku.hivi sasa anaendelea vizuri.
 
Mkuu, tunashukuru kwa taarifa, lakini mbona sioni tofauti na ile iliyoko Jukwaa la Siasa?


Asante sana mdau, nilikuwa sijafanya upembuzi kamili juu ya uwepo wa habari hii pale jukwaa la siasa. Natanguliza shukrani kama Mod ataiondoa hii.
 
kazi ipo Jf,

mimi bwana nina damu ya kunguni,thread zangu zikifanana kidogo tu hata kwa silabu moja tu,huchanganywa na hiyo iliyowahi,lakini hii ya copy &paste mmmmmmmmmmmmmmmmmh
 
Back
Top Bottom