Jamani CHABO kitu mbaya sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733


Jamaa anachovya kwenye maji ya sabuni badala ya bakuli la mchuzi na mwishowe anavunja shingo kisa kuchabo... Watch this out
 
Last edited by a moderator:
Mmmh...makubwa!!..pale ilifaa aangukie pua,asingerudia tena.
 
duuuuu huyu sister alijua ata muumiza tu huyu jamaa cyo feya kabisa hata shetan hapendi
 
Ha ha ha haaaaaa!!!! Dah!! jamani kweli chabo mbaya. Umenikumbusha mimi zile enzi zangu siku moja nilitumbukia kwenye mtaro wa maji machafu wakati nilipokuwa nikipiga chabo.
 
Back
Top Bottom