Wapili kutoka Jakaya kwenda kulia mfupi ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapili kutoka Jakaya kwenda kulia mfupi ni nani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jan 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Jamani naomba kujua afisa aliye mstari wa mbele wa pili upande wa kulia toka kwa Ndugu Rais Jakaya Kikwete.
   
 2. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyo ofisa achana nae inawezekana ni mtu mwema sana Lakini Ngereja na Malima wanafana nini Ikulu? Wameharibu Picha!!
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sijui una uliza kwa hakika au kejeli. Inadhihirisha kuwa unamjua. Hebu tutonye tupaye uhondo wa 2012.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  hawa ni watanzania? mbona wamenenepeana hivi? siku hizi bongo kuna mcdonald?
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Mjumbe wa Kamati ya Ufundi!!!
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa nilimuona Airport Bukoba akitokea Mwanza ila simfahamu
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  ufundi gani tena
   
 8. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa namfahamu, lakini sio kwa jina, ni injinia mkubwa sana wa serikali yetu, jamaa ni noma kwa michoro ya ujenzi wa miradi mikubwa ya serikali, sasa sijui hapa kafika vipi, au ndio keshakula shavu!
   
 9. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ikuzeni basi hiyo picha. Sisi tunaotumia simu hatuioni.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  huyo ni mratibu mkuu wa safari za nje na mpishi wa mipango ya kupiga picha JK na mastaa mbalimbali, anaitwa Mwakifuna
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  wee hujui kuwa lile uji zito la kiume linanenepesha? Kameruni mwanawa Devidi kisha waathiri na sera zake
   
 12. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu huyo si ofisa/afisa wa serikali, huyo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Ndg Adam Kighoma Ally Malima.
   
 13. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,209
  Likes Received: 8,263
  Trophy Points: 280
  mwee mwee!!,mmh nee mbwituu.lol
   
 14. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Upande wako wa kulia sio wa JK. Umeambiwa mfupi. Kusoma huwezi, hata picha pia huoni?
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio kwamba anaitwa IKEMEFUNA? Mia
   
 16. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ngeleja na Malima wako na boss wao aliewateua. Inakuuma?
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa vile mfupi mna mashaka na uwezo wake?kweli jamani huyo jamaa sio wa kuamini sana
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  sheikh yahya hussein bin maji marefu.com
   
 19. T

  Teko JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mmh!mwee mwee isole!
   
 20. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Shabani Mlacha wa Udom .
   
Loading...