Kwa mtahi huu tutafika kweli - A must see | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtahi huu tutafika kweli - A must see

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Jan 6, 2012.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,466
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]..........

  PICHA #1: Aina ya usafiri wa Public, wapi mradi wa mabasi yaendayo kasi?

  PICHA #2: Kulala ofisini, 80% ya Wabongo hutumia wastani wa masaa 2-4 ya kazi kuzalisha dhidi ya 8 yanayohitajika

  PICHA #3:
  Wabongo wengi tunapenda sana starehe kupita kiasi kuliko kazi

  PICHA #4: Usafiri wa treni sidhani kama upo wa uhakika?

  Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe, fanya kazi kwa bidii uijenge nchi yako acha kulalama kwani mwisho wa viongozi wasio wazalendo na MAFISADI umekaribia....
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  mungu tusaidie
  RIP Tz
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,083
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tutafika tuu kimiujiza kimiujiza na kubahatisha
  Ndo hali halisi ya maisha yetu
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,206
  Likes Received: 3,185
  Trophy Points: 280
  Ha hah haaa. Inaelekea mrembo alikesha huyo...
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,759
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mishara midogo,hailipwi kwa wakati wakati huohuo wengine wanajiongezea posho za kulala na kupiga kelele za ndiyooo bungeni,unategemea nini kwa mrembo kama huyo?inabidi atafute njia mbadala ya kujipatia kipato!kujiuza!what do you expect wakati usiku hakulala?ni kusinzia ofisini!this is the Tanzania we want!RIP Tanzania,welcome ma lovely country Tanganyika!!maendeleo hayaji kama serikali haitawajali watu wake!!
   
 6. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe treni zetu zina feni....
   
 7. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 718
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Afadhali ya huyo dada aliyelala ofisini..
  ... Wengine utakuta wako busy na key board...... kumbe ana-comment thread ya Mwita25..!!!
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,663
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  ....na huduma ya mikate pia.
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha MTANI au MTAJI?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tz tambarare.
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,359
  Trophy Points: 280
  Lakini hakuna tofauti uzalishaji bado ni sifuri.
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  picha ya kwanza na ya pili sidhani kama ni tz
   
 13. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusahafika teyari na hakuna safari zaidi ya hapa tulipo
   
Loading...