Kwa mpango huu hata mimi nitashindwa kupata mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mpango huu hata mimi nitashindwa kupata mke

Discussion in 'Jamii Photos' started by KiuyaJibu, Jan 25, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ikiwa kweli wanawake watafata fedha ilipo na siyo mapenzi;hata mimi nitakuwa na wakati mgumu au nitashindwa kabisa kupata mke mwenye mapenzi ya dhati.
   

  Attached Files:

 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  so funny
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ya dhati yananunuliwa siku hizi...
  Upendo ambao mwanamke atakupa bure ni ule aliokupa mamako tu.
  Kwishnei!
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu bado kuna mapenzi ya kweli bana
  Kwani mapenzi yako na mkeo wa ndoa nayo yananunuliwa au uko nae ndani ya nyumba sababu ya kwamba unampa pesa
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ahaa hahaaahahah! nimeipenda hiyo mkuu!
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ndio ukweli halisi_ingawa hatutaki kukubali.........
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280


  napita tu hapa,.................................................
   
 8. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  fanya kazi wewe acha kulialia ...
   
 9. K

  Konya JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii kali aisee!
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Igwe usipite bana
  Hebu sema maneno yako yote hapa
   
 11. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe biashara za hivi huwa sizitaki kabisa
  ingawaje mameo mengi yako after cash money
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ngoja nitafakari kiongozi wangu,.....ntarudi basi.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  tafakari na urudi uje useme ya kwako kiongozi
  Maana ni muhimu tukisikia kutoka kwako
   
 14. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu cha bure siku hizi.
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Fuedha.jpg Kuna ukweli kiasi fulani ila ilibidi aseme kabisa hiyo bank iwe Bank Kuu isije ikawa Merridien Biao Bank!
   
 16. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nani amekwambia kuna mapenzi ya Kweli dunia hii
   
 17. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  usiogope mkuu....hayo ni maneno tuu hata kwenye kanga yapo!
   
 18. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata ivo no money no honey
   
 19. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sio wote wenye mapenzi ya pesa wengine wanapenda kweli.
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  imekuwa bora liende tu. Sasa akijiendekeza si atakuwa haolewi?
  Ndoa kimekuwa si kipimo cha mapenzi, ila timizo la haja za kimaisha. Tunarudi kama zamani ambapo binti huchaguliwa mume na kijana akachaguliwa mke, haijalishi wamependana au la.
   
Loading...