Hapo ikitokea ajali inakuaje sasa?
pata pichaHapo ikitokea ajali inakuaje sasa?
I mean, watamlaumu nani? si wanaongeza risk wenyewe tu?inakua ajali!
Basic safety measures... ukute jerrycans zingine zina mafuta, singine maji, gongo, mawese... kweli umaskini kazipata picha
I mean, watamlaumu nani? si wanaongeza risk wenyewe tu?
Hata mimi nilikua nashangaa. hivi unajua na TZ tumeanza hizi? sio kwa kiwango hichi ila kama hatua haichukuliwi saa hizi tutajikuta hivoMmmm safety haikumbukwi hapo
Narudi kwa miguu! utanisindikiza?ukifika vijijini hata wewe unajikuta unapanda humo
unaweza kuambiwa hilo fari likiondoka lingine ni la mkaa tena kesho ndo linapita
Narudi kwa miguu! utanisindikiza?