WANAHARAKATI WAANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI ICHUKUE HATUA JUU YA MGOMO WA MADAKTARI WA MUHIMBILI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu (<wbr>LHRC), Dk Hellen...
Hii picha imenikumbusha mbaoi siku nilipochelewa kwenda darasani college huko baada ya kukwamba njiani nilipotoka kazini usiku sababu ya snow kunyesha futi tatu sawa na karibu meter moja
Nimeiangalia sana hii katuni, imeleta ujumbe mkali sana kwa serikali ya JK, hiyo shuka ya mgonjwa ina tafsiri nyingi sana, zinazotukumbusha kipindi cha uchaguzi kwamba vitu vya kuhongwa like...
Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama...
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba...
hapa daktari amesha discharge zaidi ya nusu ya wodi na bado pana congestion.mnaosupport serikali unajisikiajemkeo,dada yako au rafiki yako akikaa kwenye mazingira haya?
Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii...
Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi...