Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto...
6 Reactions
79 Replies
4K Views
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni. Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
14 Reactions
153 Replies
6K Views
Kama wewe unaifahamu vyema Tanzania, hapa ni wapi?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika pozi mjarabu kabisa🙂 Wa upande wa kushoto viatu vyekundu mtunisha misuri loveness
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Picha inaongea...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
April 23,2018 ilikuwa siku nzuri kwa T.O Belnadino Mgimba.Hongera sana T.O
4 Reactions
64 Replies
13K Views
Ooh sijui nimetoka mbali, sijui hamna wa kuchezea hela zangu, mara sijui nimetumwa na kijiji, 😁 ila lazima tu utatuma ya kutolea alafu hatakuja.
5 Reactions
5 Replies
686 Views
Hii ni kwa ajili ya wadada wa jf kupost picha zao , karibuni.
6 Reactions
78 Replies
6K Views
Chini ya meza, kuna wanajeshi kadhaa wakimpa kadi zaidi mtu huyu kwa siri, ikimaanisha kuna hila na msaada wa kijeshi kwa upande wake. Wengine wawili (mmoja mwenye mavazi mekundu na bereti...
0 Reactions
3 Replies
427 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tupia picha tuone namna mbalimbali wanawake wanavyobeba Watoto wao mgongoni huku kwenye bara letu la Afrika Asubuhi njema
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona hii clip mitandaoni nikawaza ingekuwa bongo kingetokea nini hasa kama ishu yenyewe ingetokea siku ya Derby ya Kariakoo. 👇
2 Reactions
2 Replies
408 Views
Hapa ni wapi? Ile milima kwenye background ni wapi?
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom