Hili Boko angetoa Diarra au Camara wangesamehewa!?

Hili Boko angetoa Diarra au Camara wangesamehewa!?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,937
Reaction score
51,060
Nimeona hii clip mitandaoni nikawaza ingekuwa bongo kingetokea nini hasa kama ishu yenyewe ingetokea siku ya Derby ya Kariakoo.
👇
 
Kariakoo Derby! Huyu angetolewa uwanjani kwa ulinzi mkali wa Polisi. Na huko kwenye Klabu yake sijui kama angebaki salama. Suala la kutupiwa vilago nje lingemhusu tu.
 
Back
Top Bottom