Maisha ni kama fumbo,fumbo ni kama kufuri na maarifa ndio ufunguo wa maisha!.
Kila ulichopandikizwa kinaweza kukufunga au kukufungua,angalia usijechelewa ukakata tamaa.
Si Kila agano unapaswa...
Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na mstakabali wa maisha ya kawaida ya watanzania baada ya uchaguzi kumalizika.
Yafaa tuyatumie mawazo yake ili tuijenge Tanzania yetu.
Mabibi na Mabwana wapinzani wamebwagwa maendeleo sasa ni kama Uraya uraya tu.
Uraya = ulaya = uropa.
Siku ya pili leo habari kutoka Nyabugombe baada ya kimvua kidogo huko sasa mambo ni kama...
Ni mbunge wa Bunge la Tanzania
Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania & Zanzibar
Msomi wa Shahada ya Uzamili Sheria aliyoipata Chuo Kikuu Cha Wales nchini Uingereza.
Amehudumu akiwa Mbunge wa...