Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,833
Na sisi tuishije na nyie?Ndiomaana tuliambiwa tuishi nao kwa akili...😂😂😂
Kwani wakoje mkuu maana mimi nawapenda mnoooAfu kuna wale wembamba wenye vimaziwa vidogo ....
Sijui nani aliwaroga
Mbaya zaidi Kuna wenzetu Wana akili za kuvukia barabara tuNdiomaana tuliambiwa tuishi nao kwa akili...😂😂😂
Kwa kupetiwa petiwaNa sisi tuishije na nyie?
Kwani hamjui ambavyo mnashinda kwa manabii na waganga kwa ajili yetu?Na sisi tuishije na nyie?
Endelea kuwapenda nisikupandikize chukiKwani wakoje mkuu maana mimi nawapenda mnooo
UtiiNa sisi tuishije na nyie?
Ndio wale wenye hawaishi kulalamika...Mbaya zaidi Kuna wenzetu Wana akili za kuvukia barabara tu
Mbona hamtupi hela kila tunapohitaji? 🤔Utii
Mtafute Msela wa Manzese, kila thread analilia mapenziNdio wale wenye hawaishi kulalamika...
Hampewi sababu ya hii ratiba yenu:-Mbona hamtupi hela kila tunapohitaji? 🤔
HatariHampewi sababu ya hii ratiba yenu:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Hela mbona tunawapa tatizo yenyu ni kwamba mnataka tuwape hela alafu tuwagegede nyie pekee...ugomvi wetu ndio upo hapo.Mbona hamtupi hela kila tunapohitaji? 🤔