Apige sita vile vya kina sepetuna na uwoyonga na rayinga, takaa sawa tu😀😀😀😀😀😀😀Ni kama Bara la Afica na Bara la America, Alafu Kuna Kama kakisiwa hapo pembeni ya ugoko nadhan ni kisiwa cha Commoro....View attachment 934096
Ila nimekumbuka kuna binti mmoja najuana nae anaishi mbali kidogo na home...ni black beauty mwenyewe sijui nani kamdanganya yule binti ajichubue
Kuna siku nimekutana nae kituoni kavaa kimini jamani miguu ni white ..nilishindwa vumilia nilicheka ile siku jamani..khaaa..nikawa nawaza uko chuoni kwao wanamuonaje khaa
Chadema anapiga simu the Hague kulalamika matokeoUyu binti atakua chama gani sijui
Msimseme mwenzenu, ni radi imempiga, imetokea kwenye kikombe Cha kupigia mswakiNi kama Bara la Afika na Bara la America, Alafu Kuna Kama kakisiwa hapo pembeni ya ugoko nadhan ni kisiwa cha Commoro.
View attachment 934096