Jibu kama umeambiwa wewe

Jibu kama umeambiwa wewe

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
Eti wadau
FB_IMG_1605530971571.jpg
 
Siwezi fanya hivyo hatakam sina hela kama leo ndoo.kasem huko nyuma kafanya mangapi na akimalz kusem hayo lazima ajiandae kisaikolojia kusem walijuana veep na wameshawah kufanya mara ngapi maan sio rahisi rahisi kusema hvy
 
Thamani ya mwili wa mtu haipimwi kwa kipomo cha pesa bali kwa utu. Pesa huondoa utu, kama ni mimi ningejibu " Nenda na usirudi tena kwangu"
 
Hata akitaka kucheat mwezi mzima poa tu.Kwani hicho kidude kinabaki huko kwenye shughuli ya kucheat?
 
Mimi nachukua pesa alafu namwambia akalale nae siku zote za maisha yake hapa duniani ndio arudi kwangu..

Ata Mimi Nina kinyaa na pia Nina shida[emoji855][emoji855]
 
Ntamuuliza na kuolewa nae kabisa ili mm niwe mchepuko n sh ngap
 
Siwezi fanya hivyo hatakam sina hela kama leo ndoo.kasem huko nyuma kafanya mangapi na akimalz kusem hayo lazima ajiandae kisaikolojia kusem walijuana veep na wameshawah kufanya mara ngapi maan sio rahisi rahisi kusema hvy
Bora lipi, afanywe bure halaf uje ujue au akwambieb uchukue hiyo hela. Hapo mimi nachukua hela na mimi natafuta pisi la kupozea maumivu. Ila tukimaliza hapo atakula kwa ratiba yangu. Nambia aongeze hela iwe anataka nimpe au aende kwa jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom