Hivi hii ni selfie au picha ya kawaida.

Hivi hii ni selfie au picha ya kawaida.

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,325
Reaction score
7,533
8572ea46f1f5a8c647630ef00260aef5.jpg
 
Hapo umezuga tu ulitaka tumuone huyo mrembo,haya nishamuona tho hajanivutia.
 
ila wabeijing wana safari ndefu kufika nchi ya ahadi.

nawaza yafuatayo haijalishi usahihi wake:
*dereva alinishinikiza picha ichukuliwe kwa malengo ayajuayo na kwa manufaa yake (mfumo dume).
-kalazimisha/aliratibu uchukuaji picha, sura yake ifichwe
-tabasamu la mwanamke limetengenezwa (limelazimishwa/halina hiari ya moyo)
-mlengwa hakujiandaa kiakili kukabiliana na matokeo
*kusudi kubwa la picha hii ni udhalilishaji kijinsia-mavazi yanasadifu.
 
Mmmmh sawa sijui umekusudia nn kuuliza
 
Back
Top Bottom