Kipanya na hatma ya watanzania

Kipanya na hatma ya watanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,316
Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na mstakabali wa maisha ya kawaida ya watanzania baada ya uchaguzi kumalizika.

Yafaa tuyatumie mawazo yake ili tuijenge Tanzania yetu.
Screenshot_20201115-184533.jpg
 
Ngoja niwasaidie kilichowakosesha
Ni uchaguzi na sheria ngumu zilizopitishwa kwa ajili ya wapinzani tu
Sasa wapinzani wameongezea kitu ambacho wanaona ndio mzizi wa fitna
Katiba mpya itakaozaa tume ya uchaguzi iliyo huru!
 
Back
Top Bottom