Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
Balozi wa Marekani nchini Libia J. Christophe, wangine watatu wamefariki dunia katika shambulio lilotokea jana kuamkia leo katika mji wa Baghazi nchini humo. Tukio hilo lilitokea pale waandamaji...
David Cecil katika mahakama ya Makindye
Msanii moja toka Uingereza amekamatwa nchini Uganda kwa madia ya kuandaa na kuonyesha mchezo wa kuigiza kuhusu ushuga.
Mtayarishi David Cecil wa...
Generation Y ni kundi la watu waliozaliwa kati ya 1990 na sasa.
kwanini wanaitwa Generation Y?
sikujua maana yake nini mpaka mchoraji kibonzo hiki aliponifafanulia...nimejifunza kitu kipya...