Inahusu nini hii...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inahusu nini hii...?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Preta, Sep 15, 2012.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Wakuu.......nimekutana na hii kitu na ninaona inatangazwa sana kwenye mitandao........inahusu nini....?

  Faru3.jpg
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inahusu Faru kwenda Mwanza na Arusha
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  waje basi....mbona wanakawia.........
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,311
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  wanakuja kwa barabara
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  watakuwa wamefika wapi.......?
   
 6. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Mombo...kwa wale wanaopelekwa Arusha...Nzega kwa wale wanapelekwa Mwanza.
   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Niliona mabango viunga vya Arusha hasa kwenye ma'bar'!Nahisi ni aina mpya ya bia.
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,311
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  wale wa Uingeleza walikuja na ndege ya DHL wakashukia pale KIA wakaja na chakula chao kuotka UK heheheh wazungu wanapenda wanyama sema chakula kilikuwa cha mwezi tu
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  au ndo wale faru wa JK aliosema watapewa ulinzi kuliko yeye..
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ni Faru huyuhyu ninayemjua mimi ama..??Maana kiswahili siku hizi mnh...
   
 11. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwa kwa jina hilo, huenda ikawa hiyo inayokwenda Mwanza na Arusha.
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Naona kama ndo wanashushwa vile

  [​IMG]
   
Loading...