Mchumba wangu huyo amependeza jamani?

Kapendeza kweli!
Sasa mbona kaharibu sunnah na mikucha ya bandia na rangi za nyumba? Angetia na kucha angewakawaka!
 
Mikono ikichorwa namna hiyo mimi naona itatisha zaidi kuliko kupendeza......kwa miguu sina neno!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom