Walibya mwisho wamuwa balozi wa amerika kwa kombora

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080

Balozi wa Marekani nchini Libia J. Christophe, wangine watatu wamefariki dunia katika shambulio lilotokea jana kuamkia leo katika mji wa Baghazi nchini humo. Tukio hilo lilitokea pale waandamaji wa dini ya kiislamu walipofika maeneo hayo, na hatmaye mmojakati yao kurusha kombora na mwingine kupiga risasi ambayo inasadikiwa ndiyo iliyomuua kiongozi huyo.

Watu wa Libia wakiwa katika tukio wakishangaa
Jengo likiendelea kupamba moto.
Tukio zima lilivyokea la kuungua kwa Balozi nchini Libia

Last edited by a moderator:
Wamarekani, waingereza, wafaransa waache waadabishwe kwa uhayawani wao wa kumwua comrade gaddaff. Muziki huo hautakuja uishe kamwe. Pwamabafu zao!
 
mimi nikiona wamarekani wanakufa hufurahi saaaana maana wao wanachangia sana matatizo katika hii dunia,wao wameua watu wangapi mpaka sasa duniani safi sana,asante mzizi kwa habari njema.ajidhaniae amesimama aangalie asianguke.
 
Anaetoa hongera kwa mauwaji na akazane hukum za wanadam kumsaidia mungu kutoa adhabu kabla yeye hajasema kashindwa zipo njian kwa kasi kuingia tanzania.

Mwenye akili hahitaji utabili kuliona hilo dudu.
 
Samahani mkuu,hapa naomba kuelimishwa,hivi Saudi Arabia ni taifa la watu gani vile..??
Saudi Arabia ni Taifa la Uarabu naUhusiano wa Saudia Arabia na amerika ni kwa ajili ya Mfalme wa Saudia Arabia king Abdullah ndio mwenye uhusiano na Amerika sio WaSaudia wenyewe hawaipendi Marekani hata kidogo.Nikisema WaSaudi nina maana Wana nchi wa Saudi Arabia hawaipendi Amerika Kiongozi wao tu ndio anayejipendekeza amerika St. Paka Mweusi
 
Mh,kwa navyowajua waarabu kama uyasemayo ni kweli si wangekuwa wameshamlipua zamani sana na mabomu yao ya kujitoa muhanga...
 
Balozi wa Marekani nchini Libia J. Christophe, wangine watatu wamefariki dunia katika shambulio lilotokea jana kuamkia leo katika mji wa Baghazi nchini humo. Tukio hilo lilitokea pale waandamaji wa dini ya kiislamu walipofika maeneo hayo, na hatmaye mmojakati yao kurusha kombora na mwingine kupiga risasi ambayo inasadikiwa ndiyo iliyomuua kiongozi huyo.

Watu wa Libia wakiwa katika tukio wakishangaa
Jengo likiendelea kupamba moto.
Tukio zima lilivyokea la kuungua kwa Balozi nchini Libia

jino kwa jino
ubabe kwa ubabe
shoka kwa shoka
amani kwa amani
ukimfanyia mwenzako ubaya ujue na wewe utafanyiwa
wamevuna walichopanda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom