Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,080
Mbona sijaelewa MziziMkavu? Ni kwamba hapo juu kuna sherehe inaendelea au?
chuki,tamaa,ubinafsi,ufisadi namkusanyiko mkubwa wa tabia mbaya zote za binaadamu vinauharibu ubinaadamu.umetoa mfano hai kabisa wakati wengine wanasaza na kutupa wengine ngozi zinagandana na miili kwa kukosa walau mkate mmoja tu.ninaamini kama kila binaadamu angempenda mwenzake,kumjali na kumhurumia dunia ingekuwa sehemu bora kabisa.tofauti na sasa ambapo taifa kubwa linapora taifa dogo,tajiri anadhulumu maskini,viongozi wanawadhulumu wananchi na mambo mengi mabaya na machafu yanayopelekea kujitokeza kwa mambo kama haya.mungu atusaidie.Chakula chenyewe kinalimwa Ethiopia