nmepotelewa na kitoweo

nmepotelewa na kitoweo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,088
Reaction score
60,499
196720_273969649380023_445974902_n.jpg

mia
 
dah....kumbe cha kwako.....kimenipita hapa sasa hivi....kiko kwenye speed ya 220kmp...........
 
Nikikusaidia kutafuta ujue nakuja kula, ntachangia chumvi, pilipili na thomu
 
Nadhani kalikuwa kanakusanya kasi ya kupaa!!Kalipokupita tu,kakapaa!!!
Itakuwa ngumu kumpata tena
 
dah....kumbe cha kwako.....kimenipita hapa sasa hivi....kiko kwenye speed ya 220kmp...........

mdake halafu umlete tumshughulikie. ntakupa zawadi ya ushindi. mia
 
Nikikusaidia kutafuta ujue nakuja kula, ntachangia chumvi, pilipili na thomu

njoo ule. tukimaliza nakuwekea wimbo wa mzee yusufu wa "Umekunywe soda yangu utanibeba leo, umekula vyangu leo utalala na mimi". mia
 
Mi mwembamba hivi ntakubeba ntakuweza! Nakula na nnateleza vilevile. Sasa tunaanza na supu ama tunam'banika?

Wembamba haujarisha. Kwani unanibeba mgongoni?. Mi huwa sio mzito coz nasimamia viwiko. hahahahaaaa...!!!. mia
 
Heeh! Kama mamba?
Nikimuona kuku wako sikuambii, na hivi hamna manyoya sijui utatoa wapi ushahidi!

Back
Top Bottom