Muingereza akamatwa uganda kwa ushoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muingereza akamatwa uganda kwa ushoga

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 15, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  David Cecil katika mahakama ya Makindye


  Msanii moja toka Uingereza amekamatwa nchini Uganda kwa madia ya kuandaa na kuonyesha mchezo wa kuigiza kuhusu ushuga.

  Mtayarishi David Cecil wa Uingereza alifikishwa katika mahakama moja mjini Kampala na kushitakiwa kwa madia ya kukaidi na kupuuza amri ya serikali. Polisi wanasema kuwa Muingereza huyo alionyesha mchezo huo

  wa kuigiza licha ya kwamba Uganda ilipiga marufuku kwa muda onyesho hilo.

  Mahakama hiyo iliambiwa kuwa Bwana Cecil alionyesha mchezo huo kwa jina "The river and the mountain"

  katika ukumbi wa Tilapia Cultural Center taraehe 17 Agosti na pia katika ukumbi mwengine wa Mish Mash Cultural Center tarehe 26 Agosti mjini Kampala.

  Mahakama hiyo ya Kampala ilikataa kuamuachilia Muingereza huyo kwa dhamana na badala yake kuagiza awekwe katika gereza la Luzira hadi siku ya jumatatu ,Septemba 17 ambapo kesi yake inatarajiwa kuendelea.

  CHANZO: BBC Swahili.
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Waafrika wanaogopa sana ushoga..........in future hofu itawaondoka, its just a matter of time
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tafuta kijiji chako uhamie huko
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nyani Ngabu hebu nisaidie kuwaelimisha hii mijitu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu Boflo wanawake wote akina MadameX wapo kwanini tuwe mashoga sisi wanaume? Si jambo zuri Ustarabu wa kizungu uishie huko huko Ulaya sio Africa Mashariki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Unaanza uchokozi wewe unamwita MadameX Mijitu tena Boflo una nini kulikoni.............................
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  These ppl have no true love.....all they want is just cash
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,111
  Likes Received: 10,468
  Trophy Points: 280
  Wamfunge kifungo cha maisha huyo..
   
 9. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Thread hii ilitakiwa iwe kwenye "Habari na matukio mchanganyiko", au vipi ?? na sio kwenye "Jamii photo" ??
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  boflo at his best!boflo we mtata sana bana!ah!
   
 11. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umeamini eee, sio wote lakini(excluding snowhite)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ahahhahahahhahah kwa kweli!
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  what if they kill him?,hawafai hawa ndo wanaozidisha laana duniani.ndo utasikia mafuriko na majanga kibao duniani humu.
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Boflo, huyo rafiki yako adhabu yake inabidi akatwe dushelele maana haitumii kwa kazi yake iliyoumbiwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeshafika Mtukula nafunga mpaka, nazuia maovu kwa vitendo. Wapi kwingine nikafunge?
   
 16. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mashoga ndo wana true love??? Seriously???
   
Loading...